Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu. Alice's Adventures in Wonderland in Swahili

Проверенный продавец

3.6

Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu. Alice's Adventures in Wonderland in Swahili

Нет оценок
Более 10просмотров
Менее 10покупок
16+
Описание
Характеристики
Отзывы

Книга "Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu. Alice's Adventures in Wonderland in Swahili". Lewis Carroll ni jina la uandishi: Charles Lutwidge Dodgson ndilo jina halisi la mwandishi wa kitabu hiki, na alikuwa mhadhiri wa hisabati huko Christ Church, Oxford. Dodgson aliianza hadithi hii tarehe 4 Julai mwaka 1862, pale alipofanya matembezi katika mashua ya makasia huko Oxford katika mto Thames akiwa pamoja na Mchungaji Robinson Duckworth, Alice Liddell (aliyekuwa na miaka kumi), binti wa Mkuu wa kitivo huko Chirst Church, pamoja na dada zake wawili Lorina (aliyekuwa na miaka kumi na mitatu), na Edith (aliyekuwa na miaka minane). Kama inavyoonekana wazi katika shairi pale mwanzoni mwa kitabu, mabinti hawa watatu walimwomba Dodgson awahadithie hadithi, na kwa kusita sita akaanza kuwahadithia ile hadithi ya awali. Kiswahili ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa huko Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Somalia na nchi nyingine zilizo jirani na nchi hizi za Afrika ya mashariki. Kiswahili k...

669
3 000
78%

Другие предложения магазина

16+
16+
Электронные Книги
1 169
1 600
27%
16+
1 169
1 600
27%
16+
16+
Электронные Книги
969
7 800
88%
16+
16+
Электронные Книги
869
3 200
73%
16+
Электронные Книги
869
2 200
61%
16+
Электронные Книги
1 969
4 200
53%

Похожие предложения

Наши проекты


Приложение Wildberries Цифровой
Наведите камеру на QR-код, чтобы скачать приложение

Наши проекты


Приложение Wildberries Цифровой
Наведите камеру на QR-код, чтобы скачать приложение
2021-2024 © Wildberries Цифровой, Wildberries v11.15.19. На торговой площадке digital.wildberries.ru применяются рекомендательные технологии.Адрес для направления юридически значимых сообщений: sales@wildberries.ru